WACHEZAJI MBEYA CITY WAMEUZA MECHI
"Ningekua kiongozi wa Mbeya City ningewakata mishaha wachezaji wote' Alex Ngereza
Alex Ngereza ameonekana kuchafukwa na kuchukizwa kutokana na ushindi wa Yanga wa 6-0 huku akidak kuwa wachezaji kwa namna moja ama nyingine waluza ile mechi.
"Kwa mazingira ya namna hii hata ukiambiwa kuna wachezaji wameuza mechi huwezi ukubishana kwasababu ya aina ya magoli ambayo Mbeya City wamefungwa"
Kama uliangalia mechi na wewe umeona kuna biashara pale?


Post a Comment