JS Kabylie vs Yanga SC CAF Champions League kituo kinachofuata kwenye raundi ya pili kwa wawakilishi wa Tanzania katika anga la kimataifa.
Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves ilipata ushindi kwenye mchezo wa kwanza nyumbani dhidi ya AS FAR Rabat ya Morocco. Mchezo ujao utakuwa wa kwanza kwa timu hiyo kuwa ugenini.
Ratiba ya mechi zote raundi ya pili hii hapa:-
Novemba 28,2025
JS Kabylie vs Yanga SCRivers United vs RSB Berkane
AS FAR RABAT vs Al Ahly
MC Alger vs Mamelodi Sundowns
Novemba 29,2025
Petro de Luanda vs Esperance
Power Dynamos vs Pyramids
Novemba 30,2025
St Eloi Lupopo vs Al Hilal Omdurman
Stade Malien vs Simba SC

Post a Comment