Haya hapa makundi ambayo yamepangwa baada ya droo ya CAF Champions League 2025/26:-
Kundi A
RS Berkane kutoka Mali
Pyramids FC kutoka
Misri
Rivers United kutoka
Nigeria
Power Dynamos kutoka
Zambia
Kundi B
Al Ahly ya Misri
Yanga SC ya Tanzania
AS FAR kutoka Mali
JS Kabylie ya Algeria
Kundi C
Mamelodi Sundowns kutoka
Afrika Kusini
Al Hilal kutoka Sudan
MC Alger kutoka Algeria
St Eloi Lupopo ya Congo
Kundi D
ES Tunis ya Tunisia
Simba SC kutoka Tanzania
Petro Luanda ya Angola
Stade Malien ya Mali

Post a Comment