Kikosi cha Simba SC dhidi ya Nsingizini Hotspurs, CAF Champions League, Oktoba 19 2025

 


NSINGIZINI Hotspurs vs Simba SC ni mchezo wa CAF Champions League unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 19 2025 huku timu zote zikiwa na vikosi vikubwa.

Kikosi cha Simba SC kutoka Tanzania kinachofundishwa na Meneja Mkuu, Dimitar Pantev tayari kimewasili Eswatini kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo huo.

Hapa tunakusogezea kikosi cha Simba SC ambacho kinaweza kuanza kwenye mchezo huo na kikosi rasmi tutakupa saa moja kabla ya mchezo:-

Mlinda mlango

Yakoub Suleiman

Mabeki

Shomari Kapombe 
De Reuck
Anthony Mligo 
Chamou

Viungo

Elie Mpanzu
Yusuph Kagoma
Mzamiru Yassin
Morice Abraham
Joshua Mutale

Washambuliaji
Steven Mukwala

Mchezo huu ni hatua ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika unatarajiwa kuchezwa Jumapili saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

0/Post a Comment/Comments